LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Pinda

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Kassu

Zorah Misolen Boy

Yeah yeah

Mie kwako moyo chali ujue umenichanganya
(changanya changanya)
Na huko nyuma umejazia kama samaki sangara
(sangara sangara)
Takulinda na wezi, embe dodo wajanja kudonoa
Na kukuacha siwezi, mie macho kodo kodo nimetoa
Na ulivyo mjuzi wa mapenzi iwe jikoni popote unanipa

Na hilo lako joto joto
Nikupe katoto toto
Na uzuri wako fire moto
Miuno yako minyatonyato

Baby.. Wewe,

Fanya kama una.. una

Pinda Pinda
Una..
Pinda Pinda
Fanya kama
Una..
Pinda Pinda
Una..
Pinda Pinda
Fanya kama una..
Pinda Pinda
Una..
Pinda Pinda
Fanya kama una..
Pinda Pinda
Una..
Pinda Pinda

Baby hebu Pinda!

Mtoto soft yako ngozi
Black colour, African Beauty
Ubahili sina leo namwaga noti
Wape na shoga zako watumie hizo chenchi (yeah)
Nimepata pisi kali mrembo wa Kariakoo
Kila siku nipo naye huyu mpaka mtondogoo
Haraka ya nini na mtoto yupo ghetto
Tunapanga mipango, tunaiandaa kesho

Na hilo lako joto joto
Nikupe katoto toto
Na uzuri wako fire moto
Miuno yako minyatonyato

Baby.. Wewe

Fanya kama una.. una

Pinda Pinda
Una..
Pinda Pinda
Fanya kama una..
Pinda Pinda
Una..
Pinda Pinda
Fanya kama una..
Pinda Pinda
Una..
(Pandisha yako maruhani)
Pinda Pinda
(Nione ufundi wako)
Fanya kama una..
(Si uongo si utani)
Pinda Pinda
Una..
Pinda Pinda
We unaniwezea aahh

Kassu

PUBLISHERS

Lyrics © TUNECORE INC, TuneCore Inc.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other