Kwa uhodari habari sikiliza RFA Radio,
Kwa michezo burudani ni RFA Radio (Yeah),
Watangazaji ni wakali usikivu wa hali ya juu,
Mitambo mikubwa tena ya kisasa,
Ulipo popote si unatupata,
Uwe mfugaji mkulima shambani (Sikiliza RFA Radio),
Dereva bodaboda daladala njiani (Sikiliza RFA Radio),
Ukiwa mishemishe au umepoa nyumbani (Sikiliza RFA Radio),
Na RFA.. RFA (Sikiliza RFA Radio)