Sijawahi penda tena Kama hivi, hivi
Kumpata kama yeye si rahisi,
Si mfuniko na kopo yayaah
Kashikilia jimbo yeye mwenyekiti ,yeah
The way you dress like designer
Mimi ni wako tu wa daima,
Si mfuniko na kopo yayaah
Kashikilia jimbo yeye mwenyekiti ,yeah