Siwezi Rudi Bila Chochote Uhakika
Nitaleta Chochote Kwa Meza
Na Nitapitapita kokote Lazima
Ndicho ninachojua na unanipenda eh
Sijali Alikuwa na Wangapi Nyuma
Sijali Hata wakisema Anani Puna
Kwaajili Yake Nina jituma
Nikama Train Haturudi Nyuma
Ndicho ninachojua na unanipenda eh