Sweety umenikata mbawa sipai
I never seen before Waniache nijidai
Mmmh sweety nimesizi niko high
Penzi lako tamu ivo linanilewesha ka divai
Wananisimanga nakula najilamaba
Eti ni ushamba sio mapenzi ah
Kama penzi lingekua chungwa
Mimi na wewe ndo forever haya
Yana raha yake tu ukiyajua
Akibandika nakibandua chakula chake duh
Ndo nimesha zama ndo nimesha kwama
Moyo wangu na wake ngumu kuigawanya
Ndo nimesha zama ndo nimesha kwama
Hata unitake huwezi kunipata mmh
Bridge na chorus vinarudi"