Hakuna mwingine wakumsikia, kwenye masikio yangu
Hakuna mwingine wakumuona, kwenye macho yangu
Nibebe nibebe, honey, nishushe mahabani
Nigege nigege (eh), mi kwako taabani
Nikuite jina gani, baby, honey, ama boo? Mon amor
Nikuite jina gani, mahabuba au lazizi? Aah, au Mon amor?
Aah—ah, moyoni ulivyonikaa never seen before
Hata unavyonipa never seen before
Wengine wa nini? Oh, la—la—la, la, la
Madungaembe wa nini? Oh, la—la—la, la, la
Kwenye joto nipepee kwa baridi nikumbate, eh
Kwenye mvua nikinge kama mwavuli
Nibebe kanitupe kileleni, ah
Nipe yote yote, aah, taabani