LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

The Godson (Deluxe)

•

2025

Salioo

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
Kutoka, haloo
Oh
Oh, yeah (Trax)

Nashukuru nimejua kisa salioo
Ngoja kwanza nitafute hela
Kumbe shida sina salioo
Acha basi nikatafute hela

Si ungesema kisa he (he)
Ndio inayofanya nikose raha (la)
Si ungesema kisa he (he)
Ndio inayofanya nikose raha (la)

Mi nakaa naumiza ndonga
Almanusra nidate, ah
Nimekaa naumiza ndonga
Chupuchupu nipagawe, bae

Maana usiku kucha unanisifia
Kukikucha unani-cheat
Na tena mara kwa mara unaniambia
Kitu yangu ndio ina fit, ah

Mara pah natumiwa video zako unaliwa
Mate kwenye ndinga, ah
Mara ghafla naambiwa
Una danga lako lenye umri wa kukuzaa
Nikawa na shangaa

Nashukuru nimejua kisa salioo
Ngoja kwanza nitafute hela
Kumbe shida sina salioo
Acha basi nikatafute hela

Si ungesema kisa he (he)
Ndio inayofanya nikose raha (la)
Si ungesema kisa he (he)
Ndio inayofanya nikose raha (la)

Mmm-mm, yeah
Oh, yeah, oh

Si kila kitu tulifanya kwa ajili yako
Na wewe ukaniahidi utazikwa na mimi
Hata kitu niliwasha kwa ajili yako
Ni wewe ndio ulitaka uvute na mimi
Maneno yako yaliniaminisha
Na mi nikajiamini (comfortability)
Vitendo vyako viliniaminisha
Kumbe sio (negativity), ah

Mara pah natumiwa video zako unaliwa
Mate kwenye ndinga, ah
Mara ghafla naambiwa
Una danga lako lenye umri wa kukuzaa
Nikawa na shangaa

Nashukuru nimejua kisa salioo
Ngoja kwanza nikatafute hela
Kumbe shida sina salioo
Acha basi nikatafute hela

Si ungesema kisa he (he)
Ndio inayofanya nikose raha (la)
Si ungesema kisa he (he)
Ndio inayofanya nikose raha (la)

Oh, yeah
Nafanya nikose raha

WRITERS

MARIOO

PUBLISHERS

Lyrics © Vydia, Inc., Audiam, Inc.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

More From This Album

Lyric cover art

The Godson (Deluxe)

2025

01

TETE

Marioo

02

MVUA

Marioo

03

OLUWA

Marioo

04

HA HA HA

Marioo

05

DUNIA

Marioo

06

Alhamdulillah

Marioo

07

My Daughter

Marioo

08

Sober

Marioo

09

Nairobi

Bien, Marioo

10

Dar es Salaam

Marioo

11

Happiness

Marioo

12

Salioo

Marioo

13

Wangu

Marioo

14

My Eyes

Marioo

15

Pini

Marioo

16

Njozi

Marioo

17

No One

Marioo

18

High

Marioo

19

Why

Mario

20

2025

Marioo, Stans

21

Hakuna Matata

Marioo

22

UNANCHEKESHA (Move On)

Marioo

From This Artist