Eeey napenda venye unavyodunda
Ukitembea unafanya nikutake take
Kweli Mola kakuumba unateketea
Vile uko lit lazima nikukate
Sijui ka uko na copy(eeh)
Kwani we ni mgeni hapa Nairobi
Na jinsi anavyo ligidi ligidi
Kana kwamba anaifanya ka digiri ana digiri
Ukichikidi chikidi ana digidi digidi
Mashore wengine sai ni tbt tbt (sare)
Kiboko kiboko yaani kiboko
Sijamuona kama ye! ye! ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! ye! ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! ye! ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! ye! ye! Yaani Kiboko
Ananipa mi mawenge (hello shawty)
Uswazi kote ye ndo ametawala
Sioni noma yaani mbona soul body
Akinipa sikatai mimi nakwala
Yaani balaa nyuma vigirigi
Kwa shanga kiunoni nasimama
Yaani balaa nyuma vigirigi
Kwa shanga kiunoni nasimama
Nywele singa singa kimahaga (ni mkare)
Yaani working class bila kusita nang'oa nanga
Nywele singa singa kimahaga (ni mkare)
Yaani working class bila kusita nang'oa nanga (si usare)
Huu mtoto kiboko kiboko yaani kiboko
Sijamuona kama ye! ye! ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! ye! ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! ye! ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! ye! ye! Yaani kiboko
Check it ee ju already tusha nokiana
Lenga huyo boy ata moti hana
We ni kiboko tunaeza sosiana
So go ahead and bust it down thotiana
Kuja international toka local
Am the hottest rapper right now kwa soko
And rich too bad boy si msoto
Haha oooh lord you entice me
And me backing down so unlikely
No sidechiq I'll make you my wifey
Masauti vipi they can't do it like we
Sijamuona kama ye! ye! ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! ye! ye! Yaani kiboko
Sijamuona kama ye! ye! ye! Yaani Kiboko