LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

No Love No Stress

•

2021

Hachiti

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
gechi gachi father si wanapemda kubeng'
verse1
Jiite danga boss kibobo ukipita unamwaga pesa mbele ,
baby wangu hachiti
leta vanga mdundiko mchiriko kwa mganga hata ukichanja ndere
baby wangu hachiti
naitwa vunja Bei nna maduka sinza na mengine yapo mikoani
baby wangu hachiti
kale katunda na mwenzake whozu nitawafukuza nikuweke dukani
baby wangu hachiti
unabeba vyuma utajii,,kuwa na mdogo baby wangu hapendi baunser
baby hachiti
nataka chipsi yai rojorojo au unapenda za kukauka
baby wangu hachiti
chorus( ×2)
ananipenda sana
baby wangu hachiti
mi najua anakuchuna tu
baby wangu hachiti
eti umemtoa out eeh
baby wangu hachiti
hapo badae atarudi tu
baby wangu hachiti,,hachiti
baby wangu hachiti,,hachiti
baby wangu hachiti
verse2
ayaa Dada weka kigodoro bana tumbo
alafu weka kope kwa majini
baby wangu hachiti
eti nitampa ndogo pia ntampa kubwa baby wangu hata umwambie Nini
baby wangu hachiti
ona umbo namba namba nane shape kichuguu na kifuani saa sita
baby wangu hachiti
ita maphotographer wakupige picha upost baby wangu adate na filter
baby wangu hachiti
eti mpatie mbata na karanga mbichi haaaa!! unajikuta kungwi weewe
baby wangu hachiti
repeat chorus

PUBLISHERS

Lyrics © TUNECORE INC, TuneCore Inc.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

More From This Album

Lyric cover art

No Love No Stress

2021

01

Nakesha

mabantu

02

Hit Song

Mabantu

03

Show Show

mabantu

04

Hachiti

mabantu

05

Umenuna

Mabantu