LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

No Love No Stress

•

2021

Show Show

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Lyrics
bridge
usiku wa Leo mbona show show
mi ninakupa show show
usiku wa leo mbona show show mi ntakupa show show
si wanapenda kubeng'
party after party,,thus after thus
dj track after track baby Juno apo Kati aaah
leo kurudi kwenu marufuku nataka unipe sugar ya zuchu aaah
utachagua bandama mapupu aah,
ntakupa mchezo wa Bata sio kuku aah,
umeipenda eeeh ;yes daddy
tamu eeeh,yes daddy
je niongeze ,,,yes daddy
apo je,,,,mi naogopa
chorus
kuna vant na nyagi
mi naogopa
si tuna mix na soda
mi naogopa
au tuongezee kidrogo
mi naogopa
bado unasikia uchungu
mi naogopa here
kuna Moshi na nyage
mi naogopa
si tuna mix nasoda
mi naogopa
Kwan bado unasikia uchungu
asa unaogopa Nini kiruuuu
repeat bridge
hivi ulipata pesa niliyotuma,yes daddy
usiku wa Leo si ndo show show ,yes daddy
mi nataka hiyo siti ya nyuma
mi naogopa
Leo nataka unipe company,aaah
tumwagilie wote bustani,aaaah
tufikishane ile wastan,aaah
udambu dambu full burudani,aaaah
repeat chorus

PUBLISHERS

Lyrics © TUNECORE INC, TuneCore Inc.

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other

More From This Album

Lyric cover art

No Love No Stress

2021

01

Nakesha

mabantu

02

Hit Song

Mabantu

03

Show Show

mabantu

04

Hachiti

mabantu

05

Umenuna

Mabantu